jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
mi mkulima nimeyavuna mengi sana tu, hela yako mkuuHabari wana jamvi?wakuu ni wapi naweza kununua kwa wingi maharage ya njano kwa bei ya jumla kutoka shambani?
Mwenye information kutoka shamba naomba anipatie.
Huku tunauza kwa Sado au kwa gunia tu sio debe wala kilo kilo ni madukaniSh ngapi unauza kwa debe?
sado bei gan mkuu
Kilimanjaro na Arusha ndio mashamba yangu yalipouko mkoa gan
Sh 135,000Gunia la kilo mia moja unauzaje
Arusha naweza kupataje?Kilimanjaro na Arusha ndio mashamba yangu yalipo
Kama upo serious tufanye biashara , nicheck kwenye hii namba 0765596933Kilimanjaro na Arusha ndio mashamba yangu yalipo
Kama upo serious tufanye biashara , nicheck kwenye hii namba 0765596933
yapo magari yanabeba kuleta darArusha naweza kupataje?
Sorry embu nitumie sms kwenye hii namba 0765596933 ili niipate namba yako, next week nakuja hapo moshi nataka nije ofisini kwako tufanye kaziyapo magari yanabeba kuleta dar
Habari, bado unahitaji maharage?Habari wana jamvi?wakuu ni wapi naweza kununua kwa wingi maharage ya njano kwa bei ya jumla kutoka shambani?
Mwenye information kutoka shamba naomba anipatie.
Wewe unayo?unauzaje?Habari, bado unahitaji maharage?