Nahitaji Maharage ya njano mengi

Nahitaji Maharage ya njano mengi

Stock yangu ipo Kilimanjaro unahitaji kiasi gani na kwa lini maana kilimo tumeshaanza tena kwa maana hiyo yatakuwa mengi ya mwaka juzi, jana na mwaka huu
Mi nipo dsm,nikihitaji uniletee kg 500 za Maharage (ya mwaka huu) utanifanyia sh ngap kwa kg ndugu
 
Hela yakohaina shida ila ujitahidi ufanye kilimo cha kisasa andaa mtaji
 
Mtu Aniambie Yale Maharage Ya Futari Mekundu Yanaelekea Weusi,tunapika Kwa Nazi,sukari,hiriki,abdalasini Yanaitwaje?Yanalimwa Wapi?Bei Yake
 
valentina yako ni njano?nauhakika hautochanganya,ukivuna tuwasiliane nitakuungisha hata gunia wangu
Ooh my, yangu ni lezi koko mwaya... Next nitapanda na hayo ya njano kama unayapenda sana my dear..
 
Duh upo juu sana,huku bei ni inarange kwenye 1800-2400 asa kwa hiyo bei sipati chochote na pengine nitaambulia hasara tu
Mkuu njoo nikuuzie maharage ya njano 1kg kwa 1600 usafili juu yako boss 0652299160
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom