Nahitaji machine za uwakala wa NMB na CRDB

Nahitaji machine za uwakala wa NMB na CRDB

Hapana ukipata mtu mwenye machine mkauziana na mkakubaliana mnaweza kwenda Benki wakabadirisha ID na account number hii inafanyika ndani ya siku 3 na ni Kwa NMB ila crdb ukiomba POS inaweza kupata tu bila shaka so tafuta mwenye machine akiridhia mnaenda Kwa Branch ila lazma uwe na float account wanafuta account ya muuzaji Wana update account ya mnunuaji unaendelea na biashara Kila la kher

asante kwa taarifa nzuri
 
Back
Top Bottom