Nahitaji machine za kufyatua matofali

Nahitaji machine za kufyatua matofali

Northpal

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
335
Reaction score
298
Habari,

Ninaomba msaada juu ya upatikanaji wa mashine za kufyatua tofali za umeme na zisizo za umeme pia bei zake.

Natanguliza shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mwenge opp na efatha/sumac jkt kuna jamaa wanauza ziko za kumwaga pale

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom