NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,945 Reaction score 1,801 May 19, 2019 #1 Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza nahitaji hiyo machine kwa anaefahamu wapi zinauzwa au anauza nitashukuru kuelekezwa. Asanteni
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyoeleza nahitaji hiyo machine kwa anaefahamu wapi zinauzwa au anauza nitashukuru kuelekezwa. Asanteni
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 May 19, 2019 #2 Mkuu Kuna mtu mmoja anaitwa biashara China mtafute uyo utapta mpya kutoka kiwandani from china
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Jul 12, 2019 #3 Qurie said: Mkuu Kuna mtu mmoja anaitwa biashara China mtafute uyo utapta mpya kutoka kiwandani from china Click to expand... Hakuna mtu wa hivyo
Qurie said: Mkuu Kuna mtu mmoja anaitwa biashara China mtafute uyo utapta mpya kutoka kiwandani from china Click to expand... Hakuna mtu wa hivyo
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 Jul 12, 2019 #4 Shark said: Hakuna mtu wa hivyo Click to expand... Kuna mtu wa vipi mkuu??
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Jul 12, 2019 #5 Qurie said: Kuna mtu wa vipi mkuu?? Click to expand... Mie Sijui Mkuu, Ila tafuta kama utampata. By the way njia nzuri ya kumuunganisha mtu humu ni kum tag
Qurie said: Kuna mtu wa vipi mkuu?? Click to expand... Mie Sijui Mkuu, Ila tafuta kama utampata. By the way njia nzuri ya kumuunganisha mtu humu ni kum tag
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 Jul 13, 2019 #6 Shark said: Mie Sijui Mkuu, Ila tafuta kama utampata. By the way njia nzuri ya kumuunganisha mtu humu ni kum tag Click to expand... Ahaaa uyo mtu yupo insta akamuangalie tuu....
Shark said: Mie Sijui Mkuu, Ila tafuta kama utampata. By the way njia nzuri ya kumuunganisha mtu humu ni kum tag Click to expand... Ahaaa uyo mtu yupo insta akamuangalie tuu....
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Jul 13, 2019 #7 Qurie said: Ahaaa uyo mtu yupo insta akamuangalie tuu.... Click to expand... Anhaa, Sasa nimekumbuka, nilizan umesema amuangalie humu
Qurie said: Ahaaa uyo mtu yupo insta akamuangalie tuu.... Click to expand... Anhaa, Sasa nimekumbuka, nilizan umesema amuangalie humu