Nahitaji mabox ya Kubebea Vifaranga

KIJANA2013

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
466
200
Habari wana JF

Naomba kufahamishwa wapi naweza kupata mabox ya kubebea vifaranga. Ni mabox ambayo huwa yametobolewa kuruhusu hewa kwa vifaranga wakiwa wanasafirishwa.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom