Nahitaji mabando ya magazeti

Nahitaji mabando ya magazeti

Klay King

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
148
Reaction score
277
Kwa yoyoteanaejua wapi naweza kupata yale magazeti ya kiarabu au yale meupe ambayo hayana maandishi naomba anijulishe..
Nayahitaji kwa wingi sana,huwa yanafungwa kwa kilo 15-20 kwa kila bando moja

Nipo daresalam
 
Kwa yoyoteanaejua wapi naweza kupata yale magazeti ya kiarabu au yale meupe ambayo hayana maandishi naomba anijulishe..
Nayahitaji kwa wingi sana,huwa yanafungwa kwa kilo 15-20 kwa kila bando moja
uko mkoa gani
 
Unataka yankufungia nyama buchani ee

Saiv mnataka mtulishe habari za kiarabu
 
Back
Top Bottom