SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,340
- 3,562
Fursa kwa wale logo makers, Nahitaji logo yenye components zifuatazo.
NB: This is not the final say, katika mazungumzo ruksa kutoa ushauri na maoni, but that is an idea.
KARIBUNI SANA CREATORS.
- Iwe na circle ya Dunia ( world Map ), not detailed
- Iwe na ramani / map ya Afrika ( not detailed )
- Iwe na sarafu ya fedha.
- Iwe na mchoro / picha ya mwanamke (Ntakutumia picha yake na si lazima afanane nae 100%) just an image of her.
- Awepo ndege aina ya eagle.
- Awepo mnyama aina ya simba.
- Iwe na masuke ya ngano
- Iwe na alama / symbol ya land ( ardhi).
- Jina / Brand name ntakutumia inbox baada ya makubaliano.
- Rangi ya dhahabu itawale hiyo logo.
- Kuhusu Kampuni inahusika na nini tutaongea vizuri inbox.
- Mwisho kabisa nahitaji hiyo logo ikiwa katika softcopy iwe ni (GIF).
NB: This is not the final say, katika mazungumzo ruksa kutoa ushauri na maoni, but that is an idea.
KARIBUNI SANA CREATORS.