nahitaji line ya tigo pesa

nahitaji line ya tigo pesa

Mkuu ukienda hapo ofisi zao tigo makumbusho wanakupatia wala hawana zengwe kabisa kama unataka kuwa wakala
 
ni nayo ya voda nauza bei ndogo tu sababu ya kuuzi nililetewa nyingine wakati ya mwanzo nilishapata anayehitaji ani pm au anipatie namba yake nimpe tuwasiliane
 
ni nayo ya voda nauza bei ndogo tu sababu ya kuuzi nililetewa nyingine wakati ya mwanzo nilishapata anayehitaji ani pm au anipatie namba yake nimpe tuwasiliane

nataka kufanya hii biasharabut sijajua faida yake inakuaje nui pm plz
 
ninayo ya voda laki 2 na 50 anayoitaka anipigie 0752188854
 
Ninayo ya mpesa bei rahisi muhitaji ani call 0762525846
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom