Nahitaji line ya tigo pesa naombeni offer zenu!

Nahitaji line ya tigo pesa naombeni offer zenu!

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
421
Reaction score
254
Habari wapendwa, nimefungua ofisi ya uwakala ila ninauhitaji wa line ya tigo pesa, kwa mwenye nayo au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuipata pls nitashukuru hivyo inbox me kwa kunipa jinsi au offer yako. Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom