Kama it's possible kupokea hayo malipo kwa njia tofauti na PayPal. I would recommend uangalie alternative kama Payoneer au Grey.
I've personally used Payoneer and pesa inafika mpaka kwenye account ya local bank. For Grey, I know people wanaopokea malipo nayo.
Kama ni lazima iwe PayPal. Basi ngoja wanaoitumia watakuja kupa ushauri.