NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,273
- 14,524
Limbwata Duh noma sana
Still waiting for Mr Tanzania, I think he is still walking from where he is right now.
Uwe unampikia kitalolo ....Kwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu.
Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.
Ni chakula hiki cha kimasai eeh ?Uwe unampikia kitalolo ....
Atakupenda daima..
Acha tu mkuu wangu, tena uache hvohvo......hapa tunapoongea ndugu yangu mmoja anauguza uchizi sababu ya mwanamke, kamsomesha mwenyewe toka kuhitimu shule ya upili mpaka kupata shahada ya kwanza, alipoajiriwa serikalini tu mwanamke kajanjaruka kama mbayuwayu anataka waachane....jamaa akang'amua lengo la mwanamke ni kupata mali kagoma kutoa talaka bila sababu ya msingi, haujapita muda kageuka chizi kabsaa.....kama siyo sisi nduguze kumsimamia kidete angekuwa anaokota makopo, alipopona akaenda kuowa tena mkoa fulani, nako akaenda kuliokota balaa, mwanamke ni mwajiriwa wa serikali lakini anataka kuwa expert wa biashara na anataka asimamie yeye investments zote na hataki ndugu wa jamaa kutia mguu hata kuwatembelea...........Nasisitiza, kama haujaowa we tia mimba tu uzae watoto wawili lakini msiishi pamoja wala msifanye commitment za mahusiano ya kudumu, tena mikoa au nchi tofauti!Mkuu mbona umeongea kwa hisia kali sana? Yamekukuta nini?
Pole mkuu..Acha tu mkuu wangu, tena uache hvohvo......hapa tunapoongea ndugu yangu mmoja anauguza uchizi sababu ya mwanamke, kamsomesha mwenyewe toka kuhitimu shule ya upili mpaka kupata shahada ya kwanza, alipoajiriwa serikalini tu mwanamke kajanjaruka kama mbayuwayu anataka waachane....jamaa akang'amua lengo la mwanamke ni kupata mali kagoma kutoa talaka bila sababu ya msingi, haujapita muda kageuka chizi kabsaa.....kama siyo sisi nduguze kumsimamia kidete angekuwa anaokota makopo, alipopona akaenda kuowa tena mkoa fulani, nako akaenda kuliokota balaa, mwanamke ni mwajiriwa wa serikali lakini anataka kuwa expert wa biashara na anataka asimamie yeye investments zote na hataki ndugu wa jamaa kutia mguu hata kuwatembelea...........Nasisitiza, kama haujaowa we tia mimba tu uzae watoto wawili lakini msiishi pamoja wala msifanye commitment za mahusiano ya kudumu, tena mikoa au nchi tofauti!
Wenga ugana kumkoma muyako....udesi wenuwuuchukua manii zako kaanga na chumvi huku ukiwa unaongea maneno, chukua mizizi ya mmea unaitwa ndago kaanga halafu changanya na manii uliyokaanga mwekee kwenye mafuta anayopaka na kiasi kidogo chanjia kwenye dushe, na kidogo mtilie kwenye mboga anayoipenda ila usiwe mlenda.
chukua manii zako kaanga na chumvi huku ukiwa unaongea maneno, chukua mizizi ya mmea unaitwa ndago kaanga halafu changanya na manii uliyokaanga mwekee kwenye mafuta anayopaka na kiasi kidogo chanjia kwenye dushe, na kidogo mtilie kwenye mboga anayoipenda ila usiwe mlenda.
Mcheki member anaitwa Rais2020Kwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu.
Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.
Kuna wanawake hawakuniki ata kwa kuniLimbwata pekee na hela tu na ujue kumkuna kitandani, ukiwa navyo hivyo viwili atakuwa wako kufa.
Mpende tu na umuheshimu!Kwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu.
Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.
Chukua ini lilaze sehemu ya haja kubwa mpaka asubuhi kisha mpikie rost asubuhiKwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu.
Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.

Muonyeshe kua wewe ni wake peke yake,mfanye ajisikie Malikia hata kama hana hela,kauli yako ndio silaha matendo yako ndio libwata huhitaji chochote zaidi..Kwa anayejua Limbwata bora naomba anisaidie tafadhali nahitaj kumuwekea mke wangu anipende mimi tu.
Sitaki kusikia limbwata la mwanaume kwa mwanamke ni hela!! nataka kali kuliko hela kama lipo.