nenda chuo chochote cha udereva kasome ukimaliza utapata leseni kulingana na uwezo wako. Leseni za sasa zina madaraja hivyo A2 itakuruhusu kuendesha hiyo kitu lakini kusema unatafuta leseni ya kuendesha bajaji peke ake sizani kama ni gud idea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.