chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Iwe angala na processor ya i3 na kuendele, asus, lenovo, hp zitapewa kipaumbele, kama unayo na unauza njoo na offer yako.
Ipo laki mbili na nusu
Kuna HP 2Gb Ram 250 HDD i5 350,000
naomba nitmumie picha, model yake, betry inakaa chaj muda gani, pia ww umeitmia muda gan.?
Iwe angala na processor ya i3 na kuendele, asus, lenovo, hp zitapewa kipaumbele, kama unayo na unauza njoo na offer yako.
Ipo acer i3 RAM 4GB HDD 500GB
445,000 Tshs
nitmie picha.
Dell i5 Ram 4GB Hdd 500 GB 2.5GHZ.....550,000....2weeks used zimebaki piece2