Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,829
Kama huna haraka subiri miezi kadhaa wote Amd na Intel wana Cpu/Gpu kali sana zinakuja, Intel Tiger lake series zitakazo boost graphics sana na Ryzen series 4000 ambazo zitacompete vizuri na Intel.
Kwa hii budget ngumu kupata intel ila Amd unaweza pata za ryzen. Sema hizi ryzen mtaani ni adimu sana kama kuna mtu anajua zinapopatikana atusaidie. MasterkratosMkuu laptop nzuri portable kama zile ellitebook, model gani ni nzuri?.
MATUMIZI: graphics, editing , and gaming (game za kawaida FIFA etc) . Budget not more than 800k. NAOMBA SUGGESTIONS ZAKO.
Kwa hii budget ngumu kupata intel ila Amd unaweza pata za ryzen. Sema hizi ryzen mtaani ni adimu sana kama kuna mtu anajua zinapopatikana atusaidie. Masterkratos
Ryzen 3 inapatikana around $250 mpaka $350 hivi na ukivizia deals unaipata hadi $200 ni eq ya i7 7th gen ama i3 gen ya 8 kupanda. Pia ryzen zinakuwa nzuri kwenye graphics. Kivyovyote kwa hio budget huwezi kuikosa.
Ryzen 5 yenyewe ni nzuri zaidi ni eq ya i5 8th gen hii ni around dola 350 mpaka 400 hivi, kizali zali unaweza ipata kwa hio budget ila nategemea kuuzwa around 1m huku kwetu.
Alternative ni i3 gen ya 7 ama 6 ambayo kwa kazi zako itafanya sema itasua sua.
range ya bei?ryzen laptop nilinunua mtaa wa kongo, kariakoo duka linaitwa dropizone tech. Sasa sijui kama ilikuwa moja au kama wanazo nyingi.
range ya bei?
Hata Forbes magazine hawawez cheza hii rafu yako uliyo cheza apa..
Embu nitajie Specs za iyo Mashine uliyo nunua na Bei yake mkuu mana na mimi nipo natafta PC ya Graphics aparyzen laptop nilinunua mtaa wa kongo, kariakoo duka linaitwa dropizone tech. Sasa sijui kama ilikuwa moja au kama wanazo nyingi.
Leo nimekutana na hii maeneo flan sema skufanikiwa kuiwasha haikuwa na chaji. mana nlikua nawairyzen laptop nilinunua mtaa wa kongo, kariakoo duka linaitwa dropizone tech. Sasa sijui kama ilikuwa moja au kama wanazo nyingi.
Embu nitajie Specs za iyo Mashine uliyo nunua na Bei yake mkuu mana na mimi nipo natafta PC ya Graphics apa
Leo nimekutana na hii maeneo flan sema skufanikiwa kuiwasha haikuwa na chaji. mana nlikua nawai View attachment 1381860
Spec zangu ni ryzen 5 2500u, 8 GB RAM lakini nimeongeza hadi 16GB ili iwe na dual channel ram kwasababu performance inaongezeka kwenye hizi ryzen APU, especially kwenye graphics. Pia ina vega 8 kama iGPU, 1TB HDD, na 128GB SSD ndio nimeweka windows.
Bei nilinunua 940000
Spec zangu ni ryzen 5 2500u, 8 GB RAM lakini nimeongeza hadi 16GB ili iwe na dual channel ram kwasababu performance inaongezeka kwenye hizi ryzen APU, especially kwenye graphics. Pia ina vega 8 kama iGPU, 1TB HDD, na 128GB SSD ndio nimeweka windows.
Bei nilinunua 940000
Wapi mkuu tuelekezane niko na Cash apa aise nna Shida na Mashine ya Kazi sio kidogo
nilinunua mtaa wa kongo, kariakoo duka linaitwa dropizone tech. Sema mawasiliano yao sina lakini kuna jamaa yangu ana namba zao. Nitamuomba baadae.
Ukisema tu 3.1ghz unajiwekea mazingira ya kupigwa, unaweza hata kuuziwa pentium 4.Mkuu Dekstop ya 4GB Ram , HDD 500, PROCESSOR 3.1Ghz naweza kupata kwa bei gani iwe HP PRODUCT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa hizi used ntapata wapi ?Ukisema tu 3.1ghz unajiwekea mazingira ya kupigwa, unaweza hata kuuziwa pentium 4.
Kwa core 2 duo unapata around 150,000
Kwa hizi i series andaa around 250,00 mpaka 4 tegemea na gen.
Used.
Kwa dar
Sasa hapo nimefel wap?WEWE MSHIKAJI UNAFELI WAPI BATTLEFIELD 4 NIMECHEZA KWA I5 TENA GENERATION YA 3 (MEDIUM) ATA HIGH ILIKUA INACHEZA FRESH ULTRA NDO KIMBEMBE
Hello nicheki kwa 0713039875 nikupe picha na details za computerMkuu Dekstop ya 4GB Ram , HDD 500, PROCESSOR 3.1Ghz naweza kupata kwa bei gani iwe HP PRODUCT.
Sent using Jamii Forums mobile app