Bianconeri
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 113
- 77
400kUkisha gusa games tu. Story automatically inabadilika mkuu
Hebu tuanzie kweny budget una kias gani kwaajil ya laptop?
Sent using Jamii Forums mobile app
400k
Huwez pata mashine ya kucheza games kwa hiyo budget mkuu
Labda kama unataka kwa movies tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndio unatakiwa useme highest budget unayoweza tenga kwaajili ya machine utayocheza game..mim ndio nitakupa recommendation sasaIngependeza kama ungeniambia specs gani na bei yake
Kuhusu gharama usiwe na wasi wasi
600kWw ndio unatakiwa useme highest budget unayoweza tenga kwaajili ya machine utayocheza game..mim ndio nitakupa recommendation sasa
Ukitaka nianze mim kutoa spec ninaweza kutajia specs za Spectre hapa ikawa kisanga
Sent using Jamii Forums mobile app
600k
Nijichange mpaka sh ngapi ili nipate kilicho boraFika hadi 750 ndio utapata mashine itayocheza hata battlefield 4 tena sio mpya dukani...
Otherwise 650 hadi 700 inaweza kupatikana yenye gpu hata ya 2g kama utakua na subira..hizi bei ni za kweny machimbo ila sio madukani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijichange mpaka sh ngapi ili nipate kilicho bora
Mkuu vipi? Nina 1m kamili nichukue mashine gani?Ww ndio unatakiwa useme highest budget unayoweza tenga kwaajili ya machine utayocheza game..mim ndio nitakupa recommendation sasa
Ukitaka nianze mim kutoa spec ninaweza kutajia specs za Spectre hapa ikawa kisanga
Sent using Jamii Forums mobile app
K camp yuko sahihi sana, ukigusa tu maswala ya game tayari unaongelea laptop ya 700k mkononi na kuanzia mil1.2 dukani.
Mkuu hapo sio swala la machine gani,specs tu ndo swalaMkuu vipi? Nina 1m kamili nichukue mashine gani?
Haka ka lenovo kangu kananitia wazimu sienjoy magem naishia kucheza fifa 15 tu
Haya nipe specs zitakazoweza kucheza magemu kwa bei hiyo mkuu
Kama huna haraka subiri miezi kadhaa wote Amd na Intel wana Cpu/Gpu kali sana zinakuja, Intel Tiger lake series zitakazo boost graphics sana na Ryzen series 4000 ambazo zitacompete vizuri na Intel.Mkuu vipi? Nina 1m kamili nichukue mashine gani?
Haka ka lenovo kangu kananitia wazimu sienjoy magem naishia kucheza fifa 15 tu
Haya nipe specs zitakazoweza kucheza magemu kwa bei hiyo mkuu