Jiwe kuu001
Member
- Dec 25, 2020
- 50
- 25
Shukran mkuuKila la kheiri mkuu.
Hiyo ya kwako ni generation ya ngapi mkuu?Unataka used karibu PM
Icheki Google for details mkuu Ni i3, Dell Inspiron n4010Hiyo ya kwako ni generation ya ngapi mkuu?
Sasa ulipomwambia jamaa aje pm kwako umuuzie laptop ya game umejuaje kuwa hiyo laptop yako ni laptop inayofaa kwa game? Unafahamu sifa za laptop inayofaa kwa game?Icheki Google for details mkuu Ni i3, Dell Inspiron n4010
Nina cheza games nyingi mkuuSasa ulipomwambia jamaa aje pm kwako umuuzie laptop ya game umejuaje kuwa hiyo laptop yako ni laptop inayofaa kwa game?Unafahamu sifa za laptop inayofaa kwa game?
Na iyo pC Ni kulingana na bajeti yake kuna tatzizo kwani mkuu?Sasa ulipomwambia jamaa aje pm kwako umuuzie laptop ya game umejuaje kuwa hiyo laptop yako ni laptop inayofaa kwa game?Unafahamu sifa za laptop inayofaa kwa game?
PC zenye sifa za kucheza game za maana ni kuanzia generation ya 8Au alipo ongelea games we mawazo yako yalikupeleka wapi?
Samahan mkuu mi ndiye mtumiaji wa hii PC na napo kuambia nacheza games nyingi nakua namaanishaPC zenye sifa za kucheza game za maana ni kuanzia generation ya 8
Na unapo ongelea generation ya pc kuna generation Tano tu 5. Iyo ya 6.7na 8 umezitolea wapi?PC zenye sifa za kucheza game za maana ni kuanzia generation ya 8
Na unapo ongelea generation ya pc kuna generation Tano tu 5. Iyo ya 6.7na 8 umezitolea wapi?
Ngoja nikuache naweza nikawa nabishana na Baba angu bila kujua
Mkuu ule uzi wangu niliuandika 2014, kwa wakati ule gen ya mwisho ilikuwa ni 5, Sasa hivi kuna hadi gen ya 11.
Mkuu umeongea Ki utu uzima kabisaKi bongo bongo Gamin zote zinaanzaia i3 generation 4 maana Hatuchezi games Zenye Fps kama Minecraft au Game kama Fortinite Nani acheze game Online, sisi ni wa games kama Watchdogs, GTA, Fifa,pes, Cod ila kwa Budget ya mwamba ni ndogo inabidi apo aongezee kidogo pia aangalie Ecommerce kama Kariakoomall,Sokoni na Kadhalika, Pia huko zoom, Jiji na Kupatana anaweza Pata
Ndio elimu zetu za kibongo hizi.... Ukimezeshwa na mwalimu aliyemaliza chuo 2010 unakomalia na kuvimba... Technolojia inachenj kila siku.. jiongeza kusoma na kufanya utafiti... Tupo generation ya 11. Hata proces now ni 1.1. Na kuendeleaNa unapo ongelea generation ya pc kuna generation Tano tu 5. Iyo ya 6.7na 8 umezitolea wapi?