Nahitaji laptop ya kununua nina 250,000/=Tsh

Nahitaji laptop ya kununua nina 250,000/=Tsh

gmabumbe

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
340
Reaction score
39
iwe na specs zifuatazo
Intel core 2 duo 2.0ghz au zaidi
250gb hdd au zaidi
2gb ram au zaidi
DvD rw
wifi
webcam
3hrs batry au zaidi
Dell/hp/acer/samsung. hata min nitachukua ila isiwe na scrach
0716-844978
 
ukipata za specs hizo kwa hela hiyo nijulishe na mm nikanunue.
 
Achen uzombi nyie mnaota au mpo real?2.5k kwel upate duo yenye 2 gb wakuuuu!!!!!!! Stak kuamin kama kipo kiwanda hapa bongo
 
kuanzia 300k ndo utapata mizigo ya specs hizo vinginevyo utapata ile mizigo iliyokwishapitia matibabu.
 
Ingekuwa desktop ungepata CPU tu ya specs hizo.
 
Mi ninayo samsung note book ntakupatia kwa 200,000/= kama upo tayari 0715688433

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom