Mimi sio Msomali ila huwa nanunua kwa wasomali hizo computers
sio
sio
Mimi sio Msomali ila huwa nanunua kwa wasomali hizo computers
sio
Mchina itakuwa. Wanalaghai watu wanaoingia kichwa kichwa wakidhani lenovo.Renovo ni aina mpya ya laptop imeingia sokoni, ni nzuri na rahisi kutumia. Bei take ni chini kidogo kuliko HP na Dell. Tofauti ya bei ni kama laki moja
Nipe mawasiliano yako kama kweli unachokisemaMimi nayo RAM 4GB Storage 500GB Aina ASUS
Ila inatatizo ilipata shoti haiwaki garama ya matengenezi ni 30000 je itakufaaa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaenda wote kuitengenezesha ikipona nalipa ela iliyobakiaMimi nayo RAM 4GB Storage 500GB Aina ASUS
Ila inatatizo ilipata shoti haiwaki garama ya matengenezi ni 30000 je itakufaaa??
Sent using Jamii Forums mobile app