ThinkPad JF-Expert Member Apr 11, 2008 1,844 232 Feb 19, 2009 #1 Wadau habari za hasubuhi, Natafuta laptop used kuanzia pentium 4, Kama kuna mtu umesikia anauza au duka ambalo unafahamu wanaoziuza kwa bei nafuu nihabarishe kwa 0713943995 maana ningependa niipate leo au kesho. NB(hii ni kwa Dar tu!) Aksante;
Wadau habari za hasubuhi, Natafuta laptop used kuanzia pentium 4, Kama kuna mtu umesikia anauza au duka ambalo unafahamu wanaoziuza kwa bei nafuu nihabarishe kwa 0713943995 maana ningependa niipate leo au kesho. NB(hii ni kwa Dar tu!) Aksante;
Yona F. Maro R I P Nov 2, 2006 4,202 218 Feb 19, 2009 #2 Budjet yako ni pesa ngapi ? Nishtue badae tukachek sehemu fulani