Nahitaji kware wakubwa madume na majike

kama unayo tupia namba hapa fasta na bei zake
pia kama una vifaranga sema shingapi

SITAKI MAYAI NATAKA KWARE

Ntakuuzia wanaotaga kwa 7000 na wenye week sita kwa 5000...napatikana tegeta 0755815174
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…