Nahitaji kuweka external screen ya laptop

Ibusai

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
40
Reaction score
4
Habar wadau, ninayo laptop zile terminal zinazowezesha kuunganisha il kupeleka mwanga kwenye screen, hvo screen haina mwanga. Ninaomba kama kuna uwezekano wa kuweka screen ya desktop(flat screen) au kureplace hzo terminals, naomba mwenye kuweza hyo kaz kama upo arusha au babati. Ahsanten
 






Jamaa! Flat screen ina cable inaitwa VGA CABLE ambapo ktk hiyo laptop yako kuna sehem ya VGA port una connect hapo, haitaji ufundi ndugu.
 
Poa ndugu, nimejaribu kwenye flat screen kama mbil hv zimekataa! Labda compatibility haziendan!
 
Hujaelezea tatizo lako vizuri,lisome uone kama linaeleweka.Angalia hayo maneno mekundu maelezo zaidi yanahitajika isitoshe laptop screen yake imeunganisha na sehemu inayobeba motherboard,hard disk etc na connection za kuwasiliana na screen ziko ndani.Umeifungua?
 
Nimeifungua, kuna cable from motherboard to screen, terminal ambazo zipo kwenye motherboard zimevunnjika ndo maana hakuna communication kati ya screen na motherboard@aqua!
 
laptop yangu ni aina gan maana ukshachomeka kuna keys inabd ubonyeze
Fujitsu, ni keys zp hzo?
 
laptop yangu ni aina gan maana ukshachomeka kuna keys inabd ubonyeze
Fujitsu, ni keys zp hzo?

Chomeka cable ya xternal monitor ikiwa imezimwa then angalia kwenye keyboard nadhani katka zile keys za f1,f2... utaona key imeandikwa lcd au ina alama ya screen so la kufanya wanya pc yako thn ikisha boot press fn + hiyo key yenye lcd au alama ya screen kwa pamoja
 
Pole kuna mambo mawili kama hicho kioo kimetolewa kwenye laptop yapo yaani cabble ya laptop inayo peleka picha kwenyw kioo imechomolewa maana yake ukichomeka tu monitor ya nnje itawaka moja kwa moja, lakini kama bado hujachomoa cable ya kioo chako fanya hivi.

Washa laptop yako kisha ikisha waka yaani ukisha sikia welcome tone kwamba imewaka bonyeza fn key ukiwa bado umeishikia bila kuachia bomyeza f10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…