Nahitaji kuwa professional photographer

Nahitaji kuwa professional photographer

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wakuu habari! Nahitaji kuwa professional photographer, je ni wapi naweza kupata wataalam ninapoweza kujifunza kwa hapa dar es salaam na gharama za kufundishwa zikoje.Natanguliza shukrani kwa yeyote ataeweza nipa mwongozo
 
Ushauri wangu wakati ukiendelea kutafuta wataalamu huko Dar, unaweza pitia youtube kupata tutorials.
 
nenda university of youtube kwanza....

ukiona kitu huelewi na unahitaji studio setup njoo nikuongoze studio kwangu.. ila uje na ada... knowledge is expensive
 
Alaf wakuu mnaweza recommend na CAMERA bora kwa hii shughuli ili tusaidiane maarifa..(nimevamia uzi tu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom