Matangazo Mafupi Ya Hvyo, Peleka Gazeti La 'RISASI',. Humu Unatakiwa Ujieleze Uko Vipi, Una Tatizo Gani, Maana Mke Unaemtaka Under35, Si Mchezo,. Maana Yake Tayari We Ni Mgane(umefiwa Na Mkeo).. Na Unaweza Kuwa Na 40yrs, Na Kuendelea,. Maombi Yako Hayajitoshelezi Binafsi Sijakuelewa.