Mimi ni fundi wa simu lakini nipo upande wa hardware, lakini kutokana na nahitaji ya wateja sasa nahitaji kujifunza software.
Naombeni msaada nianzie wapi niwe mtaalamu wa haya mambo?
Huko kwenye software unataka kutengeneza huko nini.Mimi ni fundi wa simu lakini nipo upande wa hardware, lakini kutokana na nahitaji ya wateja sasa nahitaji kujifunza software.
Naombeni msaada nianzie wapi niwe mtaalamu wa haya mambo?
Mimi ni fundi wa simu lakini nipo upande wa hardware, lakini kutokana na nahitaji ya wateja sasa nahitaji kujifunza software.
Naombeni msaada nianzie wapi niwe mtaalamu wa haya mambo?
0717458447nko dar