cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
Eleza hapahapa kwa faida ya wengi.Ni pm mkuu nikuelekeze
Asante sana mkuu naomba pia kujua hili, kama nitanunua ya mkononi yaani iliyokuwa inatumiwa na mtu tayari, ni njia gani nitumie kujihakikishia usalama maana watu wengine wanauza simu za wizi.Najibu kama ulivouliza maswali.
1. Utajua kama ni original kwa kufungua settings>General>About ukifika hapo utachukua serial number na kuichek kwenye website ya Apple.
2. Utajua km haijafunguliwa kwa kuichunguza kwa jicho makini, wachache tunaweza.
3. Utafungua settings>battery na kuangalia battery health iko asilimia ngapi.
Chini ya 50Hapo kwenye asilimia,Hivi asilimia ngapi hinakuwa himechoka?
Chukua simu kwenye maduka yanayouza used (utapewa receipt), ama nunua kwa mtu unayemfahamAsante sana mkuu naomba pia kujua hili, kama nitanunua ya mkononi yaani iliyokuwa inatumiwa na mtu tayari, ni njia gani nitumie kujihakikishia usalama maana watu wengine wanauza simu za wizi.
Hapo kwenye asilimia,Hivi asilimia ngapi hinakuwa himechoka?
Hakuna iPhone fakeNaombeni msaada wa maelekezo. Nilikuwa nikitumia simu za Android muda mrefu sasa nimeona nihamie kwenye iPhone. Kutokana na kipato changu nimewaza kununua iPhone 6s Plus kwa hiyo naomba mliowahi na mnaotumia iPhone nipeni maelekezo haya:
(1) Nitajuaje kama simu ni original
(2) Nitakuaje kama simu bado haijafunguliwa
(3) Nitakuaje kama battery ya simu haijachoka
Naomba kuyajua haya kabla sijanunua.