Nahitaji kusoma

vollies

JF-Expert Member
May 31, 2015
748
446
Wanajf naweza pata diploma kwa criteria hizi?
1. Four ya 27
2.Cheti cha ualimu Grade A
Naomba kuwasilisha
 
Cheti cha uwalimu yaani certificate haina mwendelezo na hiyo 27 nayo ngumu kumeza.labda ungekuwa certificate ya kilimo au afya ungeweza kusoma dip
 
kama una certificate ya ya iyo kozi basi kupata diploma unaweza kupata
Na kama mtu amemaliza form six miaka minane iliyopita na hakuendelea alikuwa na division 4 kwenye mchepuo wa HKL anaweza kusaidiwa vipi kwenye kujiendeleza?Na inawezekana?Ana Principal 1,Fail 2 na Subsidiary 1.
 
diploma utasoma vizuri mno inategemeana unataka kusoma nn
 
Umapata tena vizur tu nenda kasome diploma ya ualimu ila kigezo uwe na GPA ya 2.0 kwa gred 3A
 
Na kama mtu amemaliza form six miaka minane iliyopita na hakuendelea alikuwa na division 4 kwenye mchepuo wa HKL anaweza kusaidiwa vipi kwenye kujiendeleza?Na inawezekana?Ana Principal 1,Fail 2 na Subsidiary 1.
diploma atasoma ndugu ata usiofu aijalishi alikuwa nyumbani mda gani fanya mchakato a apply
 
Nashukuru mkuu kwa muda wako.Na kwa pass marks hizo anaweza akachukua kozi ipi na chuo kipi kinamfaa.Samahani kwa maswali mengi.
 
sema kweli kwa iyo kombi ingekuwa vizuri kama wa kike ajalibu ata teaching kiasi fulani abase na hilo somo hasa aliofauru akikaza na kuweka msuri atatoka anaweza kwenda degree baadae kuchukua kozi nyingine ila pia kama mpenzi wa biashara vipo vyuo wanaweza mchukua mfano cbe nadhani anaweza pata nafasi ata hapo cha msingi licha ya ayo matokeo aangalie ana interest na nini ndicho achukue natumai atafurahia kusoma
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom