jajithebest
Member
- Jun 12, 2015
- 45
- 8
Nimehitimu kidato cha NNE na nine faulu vizuru masomo ya sayansi focus yangu ni kusoma C.O lakin sijui jinsi kujiunga na hiyo koz plz wana janvi naombeni msada wenu
Taja matokeo yako kwanza ili usaidiwe kijana
Nina D ya CIVICS
Nina D ya MATHS
Nina C ya HISTORY
Nina C ya GEOGRAPHY
Nina C ya LANGUAGE
Nina B ya BIOLOGY
Nina B ya CHEMISTRY
Nina C ya PHYSICS
Nina B ya KISWAHILI
niambie na Mimi mkuu kuhusu clinical office r