1 mpk 3 ztakua znakubali mana san andreas inakubali
Linaweza likawa na Mb ngapi kaka....?
mbn kwenye net wanasema washa launch android version na youtube kuna clips za jamaa anacheza kwnye galaxy note na htc 1?
nenda oceanofgamesJaman mm nataka la mpira lile la PES 2015 au 14 kwenye laptop napata wap?
either ni video fake au anastream toka desktop.
game lenyewe linahitaji zaidi ya gb 60 ya free space na pia i3 inastrugle kulirun ijekuwa processor za simu?