Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,266
- 4,714
Naombeni mnishauri wadau na vituo vya kurudia
Je kama nahitaji kubadilisha combination kabisa. NafanyajeUpo mkoa gani? Unataka kurudia masomo yapi? Nisije kwambia ukajisajili shule ya Makongo Dar kumbe upo Kasulu Kigoma.Ni wazo zuri japo mkopo ishu.
Kama ulifeli as student basi kama private ndo usijaribu
Tafuta hela, ajira hakuna, Diamon mwenyewe ana hela ndio baadae akajifunza kingereza cha kutongozea akina zari na wema na jokateNaombeni mnishauri wadau na vituo vya kurudia