Kuna hotel moja ipo Viva Towers kwa hio $50 inaweza kufit sema sidhani kama wanaweza kuruhusu idadi hio kubwa ya watu
Unataka uwapige mande hao wageni wako 15?
Kwanini usiwapeleke uswahili kwako unakoishi?
Au umejitamba kuwa unaishi kwenye apartment yako?
Au ni wakwe zako watarajiwa kwa hiyo unataka wakuone matawi ya juu?
Nakushauri kwa hiyo dola 50 nenda kwenye bar yenye utulivu kiasi wanunulie bia/soda/maji viti unapewa bure na chenji inabaki.!
Mkuu laki na ishirini kwa mripuko wa wageni namna hiyo, chenji inaweza kubaki?Unataka uwapige mande hao wageni wako 15?
Kwanini usiwapeleke uswahili kwako unakoishi?
Au umejitamba kuwa unaishi kwenye apartment yako?
Au ni wakwe zako watarajiwa kwa hiyo unataka wakuone matawi ya juu?
Nakushauri kwa hiyo dola 50 nenda kwenye bar yenye utulivu kiasi wanunulie bia/soda/maji viti unapewa bure na chenji inabaki.!
Unataka uwapige mande hao wageni wako 15?
Kwanini usiwapeleke uswahili kwako unakoishi?
Au umejitamba kuwa unaishi kwenye apartment yako?
Au ni wakwe zako watarajiwa kwa hiyo unataka wakuone matawi ya juu?
Nakushauri kwa hiyo dola 50 nenda kwenye bar yenye utulivu kiasi wanunulie bia/soda/maji viti unapewa bure na chenji inabaki.!
Sasa mtu wa namna gani unarent kiapartment cha chumba kimoja eti ufanye "kikao" cha watu 15?Ww unadhani kila mtu anawaza ngono tu, akili, Zako zinaonesha ww ni mtu wa aina gani,
Kempinski hawawezi kubali watu 15 kutumia 1 room.Kachukue en-suite Kempinsiky
Google boss na sio orgi ni orgyOrgi ndo nini
Kwa $50?!?Kachukue en-suite Kempinsiky
Bora usijueOrgi ndo nini
Mkuu apartment au chumba?Naitaji kupanga apartment kwa siku moja tu, yenye chumba na sebule na full furniture
Nitakuwa na wagen wangu 15 ambao tutakuwa na meeting kidogo
Chakula na vinywaji vyote tutanunua hapo hapo
Bajeti yangu ni dola $50
Mwenye uwezo wa kunisaidia ani dm
Mass sexing watu wengi wanakutana chumba kimoja kufanyana kwa mpigoOrgi ndo nini
Tanzania apartments Bei ghali Sana Kenya kwa siku unakuta Ni elfu 40 ina facilities zote Hadi majiko na vyombo vya kupikia vipo.ukikaa mwezi Bei zinashuka waweza punguziwa Hadi elfu 30 kwa siku Kama unakaa muda mrefuKuna apartment pale survey kwa sh 70,000 kwa siku Ina vyumba vitatu jiko sitting room full furniture
Mass sexing watu wengi wanakutana chumba kimoja kufanyana kwa mpigo
Kwanini? We ushawahi kufanya? Mlikuwa wangapiBora usijue