Nahitaji kupima DNA ya mtoto.Naombeni msaada wa procedure | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kupima DNA ya mtoto.Naombeni msaada wa procedure

Discussion in 'JF Doctor' started by Truly, Oct 20, 2012.

 1. T

  Truly JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu habari zenu. Heshima mbele
  Nahitaji kupima DNA ya mtoto. Naombeni mnijuze nianzie wapi. Je,kuna malipo, unalipia wapi, kuna mtu tunazinguana nataka nikate mzizi wa fitna.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,998
  Likes Received: 22,257
  Trophy Points: 280
  Kuna D N A ya kimilia pia, wewe kabila gani??

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimesikia ya KIMILA
   
 4. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  pole mwanangu, hiyo huduma sijui kama ni ya wazi kwa vile haijakuwa mashuhuri sana, lakini uko dar basi nenda ukaulizie TMJ, Regency and the likes wao ndio wako juu kwa vipimo, kipimo hicho kinalipiwa sijui kiasi gani wewe andaa kama 50kilos ikipungua nice for you!!
   
 5. U

  Uprising Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Kwanini unataka kupima nafikir pia ni swali la msingi? Unahis mwenzio siyo mwaminifu?
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,726
  Likes Received: 20,433
  Trophy Points: 280
  Kama uko BONGO we ulie tu....Inadaiwa ndoa nyingi zilikuwa zinavunjika baada ya baadhi ya wanaume kugundua watoto si wao hivyo Serikali ikaamua kuweka ukiritimba wa hali ya juu makusudi ili kuzuia wanaume wanaotilia mashaka watoto wao wasiweze kuomba kufanya DNA test na hivyo kuweka vikwazo chungu nzima ambavyo ni vigumu mno kuvikamilisha. Hii si haki kusema kweli.
   
 7. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 547
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  unatakiwa uende kwa wakili kwanza yeye anakua kama shahidi then atapanga appointment ya kwenda kwa mkemia mkuu wa serikali kwa ajili ya kupima na kipimo kinagharimu kiasi kisichopungua laki tatu
   
 8. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  In short this government inafurahia watu kulea watoto ambao are not theirs!
   
 9. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hakuna hospital ya private au goverment inayopima DNA hapa Tz.
  Hiyo huduma inatolewa Kwa Mkemia Mkuu wa Serikali pale karibu na hospital ya ocean road.
  Kuna mambo mengi ya kimaadili (ethical issues) yanatakiwa kuzingatiwa kabla ya kipimo.
  DNA unaweza kumpima mtu,ukapata siri ya ndugu mwingine ambaye hakutoa consent ya mambo yake kujulikana .
  Mfano rahisi ni wamarekani walivyopima DNA ya dada yake osama ikawasaidia kujua DNA ya Osama na baadae wakatumia watoto ku confirm alipo obama.
  Hii technology lazima ithibitiwe Kwa sababu mfano unaweza kujua Siri za ukoo wa mke wako au ndugu zako bila idhini yao mfano uwezekana mkubwa wa kupata magonjwa ya kurithi n.k.
   
 10. k

  kigoda JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 1,784
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni mkeo au kipoozeo?
   
 11. T

  Truly JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi ndo mke mwenyewe, mwanaume anamkataa mtoto. Nataka nikate mzizi wa fitna as soon as possible.
   
 12. T

  Truly JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu. wacha nijiandae na huo mshiko na kutafuta wakili
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mkewe kapata ujauzito wakati yeye jogoo hapandi mtungi
   
 14. T

  Truly JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mchagga
   
 15. T

  Truly JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jogoo anapanda tena sana tu. come rain come sun mtoto ni wake
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,998
  Likes Received: 22,257
  Trophy Points: 280
  kazi rahisi sana.
  ongea na wazee wa mila uone mambo.

   
 17. T

  Truly JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo ya wazee itakuwa ngumu kidogo maana sio mchagga original. Huku kijiini imewah kwenda mara moja tu nkiwa la sita.
   
 18. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jee huyo mume anasemaje juu ya kufanya hicho kipimo? Jee ameonesha kuamini juu ya utayari wako au bado anakomaa tuu??
   
 19. T

  Truly JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anajua niko serious nataka mtoto apimwe. Hakuna cha maneno maneno tena ni vitendo tu.
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Samahani kama hautajali, nini kumelead to this?
  Namaanisha nini kimesababisha asikuamini? Ni mumeo au BF?

  Umeshawahi kumcheat au ni mtu mzito kiasi kwamba anahisi unamtegeshea mtoto as a trap?

  Maana mimi mtu asiponiamini to the extent ya kupima; hata mapenzi yanaweza futika.
   
Loading...