Nahitaji kupata Mastercard au VISA Card, ninaweza kuipata wapi?

kama una ATM card ya bank kama CRDB hiyo ni visa, mastercard..
unaweza kuitumia kwenye ATM ya bank yoyote inayatumia visa. pia kulipia bidhaa flani nje ya nchi, na kwenye baadhi ya supermarkets za hapa bongo.
kwa msaada na maelezo zaid nenda bank huduma kwa wateja watakuelekeza
mkuu kwa malipo ya mtandaoni kwa huduma ya nje ya nchi sio kweli labda kama wameanza mwaka huu.

mwaka jana mwenzi wa saba nilifungua account ya crdb tawi la kawe,nikiwa na uhitaji wa kufanya malipo mtandaoni,na wakanipa hiyo visa card,ila kilichotekea ilikua ni mateso tuuu japo wakati nafungua nilielezea hitaji langu na wakanihakikishia kua wao ndo wakali wa hizo mambo.ukweli ni kua nilishindwa kulipia hiyo huduma kwa sababu hiyo kadi ilishindwa kutumika kwa hudumaya mtandoni.

nilsumbuliwa wiki nzima kufuatilia bila mafanikio.hali iliyo nilazimu kuomba msaada kwa mtu wa bank nyingine kutumia kadi yake.

CRDB kwenye hizo mambo za visa crd bado ni under dog(in shafii dauda voice).kwa hasira nilito tu senti twangu twotee.

cc,crdb tanazania,shame on you.
 
Kwahiyo umehamia wapi mkuu. Ambapo wamekidhi hitaji lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani na mie mwenyewe hapo nauliza kuhusu debit master card kwa ambao wanajua kwamba wanazingatia mini ili kuipata. Na he ni nmb bank wanaweza kuwa wanatoa huduma ya hizo card
Nenda NMB gharama 15,000
Mahitaji barua ya utambulisho,kitambulisho cha uraia/kadi ya mpiga kura na passport size na muda wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo umehamia wapi mkuu. Ambapo wamekidhi hitaji lako

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu niliunganishwa tuu juu kwa juu na mtumwingine nisiye mfahamu nikampa detals zangu akanifanyia malipo kisha mimi nikamtumia hala tuu kwa tigo pesa.ila zoezi langu lilifanikiwa.

ila nimeambiwa kufungua accont kwa bank za kigeni zilizo hapa bongo ndio suruhisho,kwamba wako vizuri kwenye hizo makitu.equit bank,standard charter,baclays.....

bank za kimbongo eti wanaogopa wizi wa mitandaoni.
 
mkuu kwa malipo ya mtandaoni kwa huduma ya nje ya nchi sio kweli labda kama wameanza mwaka huu.

mwaka jana mwenzi wa saba nilifungua account ya crdb tawi la kawe,nikiwa na uhitaji wa kufanya malipo mtandaoni,na wakanipa hiyo visa card,ila kilichotekea ilikua ni mateso tuuu japo wakati nafungua nilielezea hitaji langu na wakanihakikishia kua wao ndo wakali wa hizo mambo.ukweli ni kua nilishindwa kulipia hiyo huduma kwa sababu hiyo kadi ilishindwa kutumika kwa hudumaya mtandoni.

nilsumbuliwa wiki nzima kufuatilia bila mafanikio.hali iliyo nilazimu kuomba msaada kwa mtu wa bank nyingine kutumia kadi yake.

CRDB kwenye hizo mambo za visa crd bado ni under dog(in shafii dauda voice).kwa hasira nilito tu senti twangu twotee.

cc,crdb tanazania,shame on you.
mkuu wewe ndio haukujua utaratibu. Ulitakiwa kwenda bank na card yako hiyo hiyo ndio inawezeshwa na maisha yanakuwa mapesi.
 
Sina uhakika kwa Visa Card lakini kwa MasterCard ni LAZIMA uisajiri na VBV/Secured Code. Ujinga ni kwamba, hii process yao ni pasua kichwa kwahiyo unaweza kujaribu kusajiri na ikakugomea vilevile! Tatizo lingine ambalo ndio kubwa zaidi ni kwamba staff wao wengi hawana uelewa wowote na haya mambo! Ni rahisi kukuambia YES, inawezekana but HOW, hawawezi kukupa jibu!

But all in all, shida yote hiyo ya nini?! Kwanini hiyo kadi usiiunganishe na PayPal moja kwa moja ambayo ndiyo safe zaidi kuliko kutumia kadi moja kwa moja! Hii ndiyo njia nyepesi zaidi kama unatumia card za CRDB, au zozote zile.
 
mkuu nielekeze jinsi ya kuunganisha hizo makitu,kuhusu hao stafff wa crdb wea acha tuu hasa wale wa tawi la mikocheni ni pasua kichwa.wanavyojifanya wajuaji sasa hata wasiyo jua ni kuchongoa midomotuu,kuna kibibi kimija pale tawi la mikocheni nusura nikiztusi.
 
mkuu wewe ndio haukujua utaratibu. Ulitakiwa kwenda bank na card yako hiyo hiyo ndio inawezeshwa na maisha yanakuwa mapesi.
blaza yote hayo nilifanya,tawi la kawe walinielekeza nienda kujisajiri tawi mama la mikochoni kwa jili ya hiyo huduma,nikaenda zaidi ya mara mbili bila mafanikio.

mara ya kwanza nilienda nikasjiri nikaambiwa baada ya masaa 24 itakua poa nikasubiri,baada ya mudahuo nilipo jaribu bado ilishindikana,nikarudi tena wakanisajiria upya napo ikawa yaleyale ya u underdog.
 
mkuu wewe ndio haukujua utaratibu. Ulitakiwa kwenda bank na card yako hiyo hiyo ndio inawezeshwa na maisha yanakuwa mapesi.
There's something wrong kwenye issue ya usajiri kwenye VBA/Secured Code, ambapo ni ngumu sana kukamilisha usajiri lakini ni rahisi kama kufumba na kufumbua kuwa blocked manake ukifanya 3 attempts, unakuwa blocked! I'm good at haya mambo lakini kila ninapojaribu registration, naishia kuwa blocked! Hili wala halikuwa jambo la mtu kuacha kazi zako na kwenda branch eti card ikaunganishwe na secured code!
 
mkuu nielekeze jinsi ya kuunganisha hizo makitu,kuhusu hao stafff wa crdb wea acha tuu hasa wale wa tawi la mikocheni ni pasua kichwa.wanavyojifanya wajuaji sasa hata wasiyo jua ni kuchongoa midomotuu,kuna kibibi kimija pale tawi la mikocheni nusura nikiztusi.
Mkuu, wala hakuna ugumu wowote! Kama bado hauna PayPal account, jambo la kwanza, pata kwanza PayPal Account:
Ouvrir un compte PayPal Particulier ou Professionnel

Jisajiri hapo, na kama kuna swali lolote hususani baada ya kuwa umeshakamilisha usajiri, ULIZA!
 
kujisajiri hapa nakumbana na kikwazo cha state inaonekana system inatambua state za US pekee.

nimeshindwa endelea na mchakato.
Hii message yako ni ya lini? Nashangaa ndo kwanza naiona!!! Btw, there must be something wrong wakati unajaza taarifa zako kwa sababu haitakiwi kutokea suala la state! Unaweza kuweka screenshot ya page inayokuambia uweke any of the US State?
 
Leo asubuhi.nilifuta ile link uliyo weka ndo nikakumbana na hiyo mikingamo.
 
Back
Top Bottom