Mkuu wala usipate shida ya kuingia daraasani kwa kipindi chote hicho.
Kuhusu kilimo mbona kuna wataalamu wengi hasa hawa wenye maduka makubwa ya pembejeo pale kariakoo shimoni wanatoa elimu juu ya nini ufanye na nini usifanfe kutgemeana na aina ya zao.
Kuhusu ufugaji pia unaenda kwenye maduka makubwa yanayouza dawa za mifugo utapata elimu,baada ya muda uzoefu utakuimarisha.
Kila la kheri mkuu.