Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

Nahitaji Kupata Business Partner / Technologies Investor

Mambaz

Member
Joined
May 11, 2020
Posts
8
Reaction score
12
Habari Wakuu Wa JF,

Nimekua Mdau wa JamiiForums, Kwa Muda Kidogo But leo, Nimeona nije niombe Kama Kuna mdau ambae anahitaji kuinvest katika upande wa Technologies ( ICT / IT ).

Mimi Ni Kijana niliejiajiri kwa Muda Sasa katika upande wa Technologies. Na Kwa sasa ni Idea Mbili za Kiteknolojia ambazo nimetengeneza /.kuendesha Project Mbili ambazo nimeziendesha Moja inamiaka 3. Na nyingine inamwaka 1 na Nusu. Kupitia project hizo ni productive na kwa sasa naziendesha as local.

Pia Natayari Zina clients Wanaoendelea Kutumia Huduma na kuchangia Gharama ambazo zinasaidia kwa matumizi ya uendeshaji wa hizo project. Na kunisaidia Mimi Kama Mimi kuendesha Maisha yangu, Tangu nimehitimu masomo yangu. Na kuamua kujiajiri.

Nachohitaji Nikupata Business Partner ambaye Tunaweza kuka tutazungumza ambaye yupo tayari kuinvest katika hilo ambapo Mimi nipo tayari kutoa ushirikiano wa kutosha kwa kumuonyesha historia nzima jinsi project zilivyoanza Wateja wanaotumia na Wanaoendelea Kutumia hiduma, Gharama za Uendeshaji, Kiasi Nilichoingiza Toka nimeanza kuoporate paka sasa. Vitu vyote hivyo vitafanyika kwa uwazi zaidi.

Asanteni sana Wakuu.
 
Bro embu namba unchek tuyajeng #0682-432906
 
tunaweza kukutana kujadili hii?
Najua ni muda but bado nafanya tu independent tu kuendeleza maisha hapa jijini. Sikua active JF kwa muda kidogo. But kama bado upo interested tunaweza kuonana.
 
Pongezi kwa kukaribisha wabia.
Mimi nina wazo la biashara ya kiteknolojia, kama pia unakaribisha mawazo ya aina iyo basi naomba tuwasiliane.
Hakuna tatizo mkuu.. Tunaweza kuwasiliana japo ni muda sikua active JF.
 
Back
Top Bottom