Waheshimiwa nahitaji kununua solar panel pamoja na vifaa vyoote Kwa ajili ya matumizi yafuatayo.
1 Kuwasha taa 10 nje na ndani ya nyumba
2 Kuwasha TV
3 . Redio
4. Kichaji
Naomba msaada kwenye maeneo yafuatayo
A. Ukubwa WA panel
B ukubwa WA inverter
B. Nyaya
C.mahitaji mengine
Nitafurahi kama nitapata makadirio ya bei ya vifaa hivyo
Ahsanteni sana