Nahitaji kununua simu

Nahitaji kununua simu

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,864
Reaction score
2,157
Morning friends!

Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwa wenye uelewa wa simu mbalimbali, nataka simu yenye uwezo wa kutumia application mbalimbali kama skype, fb, whatsup, JF n.k

Bei ya simu kati ya 200,000 - 250,000. Kabla nilikuwa natumia blackberry but natamani kubadilisha.

Thanks in advance.​
 
thax fred1365.. more detail plz.

ina features gani mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Kwa features za hiyo simu pitia www.gsmarena.com na search for that phone utapata details nzuri na review za watu waliowahi / wanaotumia hiyo simu.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Wadau's mkuje huku plz mnisaidie kabla sijanunua famba lolz..
 
Hii simu naitumia nahisi ntaendelea kuirecomend kwa watu wa bb na wote waliotoka nokia za qwerty kuja android

Inaitwa samsung galaxy chat

Ina kioo 3 inch ambacho ni kikubwa kuliko sim za bb na nokia za kawaida na button za qwerty kama inavyoonekana

samsung-galaxy-chat-gt-b5330.jpg

Simu hii haina camera ya mbele na flash ndio weakness yake.

Ina touchwiz kama samsung galaxy s3 so utapata appearence kama ya 3d kwenye home screen

Battery life sio nzur kama upo internet mda wote

Bei ni 180,000 hadi 250,000 kama unayo 250 nenda wakala wa samsung ili ununue simu na warranty

Kwa full specs google samsung galaxy b5330
 
Morning friends!

Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwa wenye uelewa wa simu mbalimbali, nataka simu yenye uwezo wa kutumia application mbalimbali kama skype, fb, whatsup, JF n.k

Bei ya simu kati ya 200,000 - 250,000. Kabla nilikuwa natumia blackberry but natamani kubadilisha.

Thanks in advance.​

pesa yako ndogo sana kama ungeongeza kidogo ningekushauri ukanunue LUMIA 650 kwa laki nne na nusu!
 
Ni 620 mkuu simu nzuri sana sema mitandao ya bongo noma wenzao wanapunguza bei wao ndo kwanza wanaongoza hadi nimechukia nilivoona hio bei
 
unamaanisha lumia 620? Hz nashangaa sana kuuzwa 450 kwenye airtel shops maana kuna mwanangu kanunua kwa 380 mwanza.?.. So it means madukan sio bei sana
 
Ni 620 mkuu simu nzuri sana sema mitandao ya bongo noma wenzao wanapunguza bei wao ndo kwanza wanaongoza hadi nimechukia nilivoona hio bei

Ni kweli hata mimi nilikwenda kucheck nikakuta LUMIA 900 ni laki sita na nusu!
 
Hii simu naitumia nahisi ntaendelea kuirecomend kwa watu wa bb na wote waliotoka nokia za qwerty kuja android

Inaitwa samsung galaxy chat

Ina kioo 3 inch ambacho ni kikubwa kuliko sim za bb na nokia za kawaida na button za qwerty kama inavyoonekana

samsung-galaxy-chat-gt-b5330.jpg

Simu hii haina camera ya mbele na flash ndio weakness yake.

Ina touchwiz kama samsung galaxy s3 so utapata appearence kama ya 3d kwenye home screen

Battery life sio nzur kama upo internet mda wote

Bei ni 180,000 hadi 250,000 kama unayo 250 nenda wakala wa samsung ili ununue simu na warranty

Kwa full specs google samsung galaxy b5330

Mkuu nimeiona iko poa, ila nimekagua camera yake ni 2 MP, naona ni kama ndogo sana, kati ya hii na Mini galaxy ipi unayoshauri?
 
Mkuu hii simu si ya camera apart from that haina flash wala front camera

Narecomend hii achana na mini
 
Lumia 510 - 345000
Lumia 520 - 350000
Lumia 620 - 450000

nenda kwa wakala wa nokia MIDCOM.
 
kanunue kwa wakala midcom, unapewa 3 years waranty.
 
pesa yako ndogo sana kama ungeongeza kidogo ningekushauri ukanunue LUMIA 650 kwa laki nne na nusu!

mkuu kumbe nikiongeza half of the amount ni kidogo .. uwiii.
asante kwa ushauri.
 
Hii simu naitumia nahisi ntaendelea kuirecomend kwa watu wa bb na wote waliotoka nokia za qwerty kuja android

Inaitwa samsung galaxy chat

Ina kioo 3 inch ambacho ni kikubwa kuliko sim za bb na nokia za kawaida na button za qwerty kama inavyoonekana

samsung-galaxy-chat-gt-b5330.jpg

Simu hii haina camera ya mbele na flash ndio weakness yake.

Ina touchwiz kama samsung galaxy s3 so utapata appearence kama ya 3d kwenye home screen

Battery life sio nzur kama upo internet mda wote

Bei ni 180,000 hadi 250,000 kama unayo 250 nenda wakala wa samsung ili ununue simu na warranty

Kwa full specs google samsung galaxy b5330
chief-mkwawa asante kwa ushauri.. but hii sitaiweza as nina interest saaaana na picha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom