Nahitaji Kununua Simtanks Mbili Used.

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,780
5,302
Habari Wadau,

Nahitaji kununua used simtanks mbili zenye ujazo kuanzia 5000litres,zisiwe zimetoboka,pia other brands nanua e.g. kiboko,polytank etc

Bajeti :inategemea na condition ya Tanks...Weka offer yako.
 
Back
Top Bottom