Ninakushauri uende kituo chochote cha Polisi uombe kumiliki kifaa hicho, kumbuka kwamba ni lazima watakuuliza unataka uzifanyie nini? kama wataridhika watakwambia ni sehemu au wapi unaweza kuzipata. Pia nakushauri umuuliza Mwimbaji wa Injili Upendo Nkoni nilimuona wakati anaimba kwaya alikuwa anazitumia.
Mtu anapoomba ushauri wa jambo fulani kama huna jibu mwambie kuwa huna jibu au kaa kimya, Ni upuuzi kutoa majibu ya kuudhi au ya kebehi, tuwe wastaarabu japo kidigo.
Mtu anapoomba ushauri wa jambo fulani kama huna jibu mwambie kuwa huna jibu au kaa kimya, Ni upuuzi kutoa majibu ya kuudhi au ya kebehi, tuwe wastaarabu japo kidigo.