Nahitaji kununua pikipiki used aina ya Boxer au TVS

Nahitaji kununua pikipiki used aina ya Boxer au TVS

Amjadey

Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
83
Reaction score
32
Habari wakuu

Yoyote ambae anauza Pikipiki aina ya Boxer au TVS iliyotumika sio zaidi ya mwaka mmoja. Engine CC150 itapendeza ikikosekanwa ata cc125.

Isiwe imewahi kufanyiwa matengenezo kwenye engine (engine haijaguswa)

Ninahitaji tafadhali DM. Nikutafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nipm tufanye biashara kama unayopesa ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom