Ok mkuu bila shaka ni simple sana.. first of all mambo ya kununua cd original or dukani naona zimepitwa na wakati.. coz kwanza itakucost much
na muda na time mpaka uweze kupata iyo CD.. So chakufanya follow these steps:
Najua unataka nod 32 antivirus.. but nakushauri utumia eset smart security this is the best antivirus I have ever tried na ninatumia mpaka sasa
na iko vey secured.. sasa nitakupa links ambayo ni direct kutoka kwa eset utaidownload ni mb 50 hivi and about the key i will provide it for you
also and iko valid mpaka 2017 PAID lisence and ikiwa blacklisted keys zinapatikana free kabisa daily just google it na utaipata new also mimi
natumia hii so i will keep u posted nikipata PAID lisence nyingine hii niuhakika zaidi:
Download link hizi apa zifuatazo(newest versions):
ess 5 (32-bit) -
http://download.eset.com/download/win/ess/ess_nt32_enu.msi
ess 5 (64-bit) -
http://download.eset.com/download/win/ess/ess_nt64_enu.msi
nod32 (32-bit) -
http://download.eset.com/download/win/eav/eav_nt32_enu.msi
nod32 (64-bit) -
http://download.eset.com/download/win/eav/eav_nt64_enu.msi
Just download it then install it alafu ifungue nenda TOOLS and click PRODUCT ACTIVATION chagua active by username and password kisha ingiza
hizi zifuatazo:
Username : EAV-51526916
Password : kpvr48kr5n
AS U CAN SEE APO CHINI NI ESET SMART SECURITY 5 NEWEST MODEL KABISA KATIKA COMPUTER YANGU NA IKO ACTIVATED AND INA
UPDATE!
View attachment 40754