T Tyetyetye JF-Expert Member Joined Dec 3, 2014 Posts 1,180 Reaction score 992 Jan 4, 2019 #61 Kiagoh92 said: Wadau kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki maeneo yanayouzwa mpunga Gunia kuanzia 30000/= hadi 40000/= Naomba taarifa nataka nichkue STOCK. Click to expand... GUNIA LA KILO NGAPI UNATAKA KWA BEI HIYO? KILO 100 KWA LAKI MOJA TUONANE
Kiagoh92 said: Wadau kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki maeneo yanayouzwa mpunga Gunia kuanzia 30000/= hadi 40000/= Naomba taarifa nataka nichkue STOCK. Click to expand... GUNIA LA KILO NGAPI UNATAKA KWA BEI HIYO? KILO 100 KWA LAKI MOJA TUONANE
21 February JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 3,299 Reaction score 2,843 Jan 4, 2019 #62 Lukungano said: Watu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida. Click to expand... una bei gani sasa hivi hapo nzega mkuu
Lukungano said: Watu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida. Click to expand... una bei gani sasa hivi hapo nzega mkuu