Nahitaji Kununua Mpunga

maeneo mengi bado bei kushuka,hawajavuna ,ukishavunwa morogoro dumila ndani ndani ata kwa kubadilishana na nguo unapata wa kutosha tu ,unaingia ndani ndani ,ndichi kabisa
Dumila wanavuna mwezi gani??
 
U
Sisi kwetu kipindi hiki gunia 1 @150000.

Wakati wa kuvuna gunia 1 la mpunga bei yake inaanzia 70000 au 80000.
Uko sawa Mimi navuna hivi sasa walio nitangulia ndio bei wanayo uza
 
Mimi ni mzaliwa wa morgoro ifakara, ikipungua sana bei inakuwaga elfu tano kwa debe ambapo kwa gunia LA debe kumi ni sawa na 5000Ɨ10 = 50000. Hapo ndo imepungua sana. Wewe na 40000 yako labda uende shambani ukapige gunia ndo ulichukue
 
Mimi ni mzaliwa wa morgoro ifakara, ikipungua sana bei inakuwaga elfu tano kwa debe ambapo kwa gunia LA debe kumi ni sawa na 5000Ɨ10 = 50000. Hapo ndo imepungua sana. Wewe na 40000 yako labda uende shambani ukapige gunia ndo ulichukue
Mwez gan inkuwa
 
Nenda pawaga nadhan kwa sasa gunia la Debe 7 ni sh 32000
 
Ndio wap hyo
Iringa!. Kilometers 70 kutoka mjini.
Ukifika Iringa mjini kuna magar yanaenda huko nauli ni 3500 mwendo wa masaa 2,utapata basi la saa4 asbh,saa7 na saa8 mchana!.
Nitafute kama upo serious nikuunganishe na vijana wa kukusaidia kukusanya na unawalipa 2000 kwa gunia atakalokuletea eneo unalokusanyia! Yaan wewe ni kuwa na mifuko na pesa kijana anapita kutafuta wauzaji akipata anakuletea mpunga,mnapima unalipa 34000. Ndani ya wiki gunia 100 unakuwa umejaza
 
Wadau kwa anaye fahamu kwa kipindi hiki maeneo yanayouzwa mpunga Gunia kuanzia 30000/= hadi 40000/= Naomba taarifa nataka nichkue STOCK.
Muda wa bei hio bado labda wa 5 mwishoni au wa 6 na itategemea na mwaka husika pia. Kumbuka kwa miaka miwili nyuma mpunga haukufika bei izo
 
Kajole
Mkuu, kuna godown ya kutunzia mpunga wakati unaendelea kununua? Na je, kama inachukua wiki kupata junia 100, kuna usalama hapo kijijini wakijua unayo cash mkononi?
 
Njoo mbarali utakutana na Saro5 gunia 140,000-150,000/=
Watu wa mizani na Vipimo wanaruhusu kusafirisha magunia makubwa,maana Sheria kila siku na huwezi fika dar bure lazima uliwe,kama sio mizani,watu wa ushuru au Vipimo
 
Mkuu hii bei ni kwa kipindi hiki
 
Watu wamekaa mijini tu hawataki kutembea then wanaongeaaaa! Tena ukiwa tayari kwenda kule niambie nikuelekeze vijiji vya kupata mzigo mwingi namna ya kukusanya unawabebesha ganagana mpk stoo(gunia 500-1000 wanakubebea bila shida.
Na mimi utanipa ramani mkuu nina plan hiyo mwaka huu sitaki masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…