Wadau
Nahitaji kununua maharage kwa wingi kwa biashara endelevu hasa toka mikoa ya Mbeya ,Arusha,Ruvuma ,hasa kutoka kwa wanaolima mashamba makubwa , kama uko serious ni pm ,au piga namba 0628036857
karibuni

nitakujibu ndani ya siku chache zijazo.....tuna malizia logistics halafu nitakuwambia tutahitaji tani ngapi..ni biashara endelevu....naomba pia contacts zako just incase