Salaam wapendwa. Naomba ushauri kuhusiana na magari tajwa hapo juu. Bajeti hadi kufika dsm ni $2200.
ushauri ujikite katika uimara, matumizi ya mafuta, upatikanaji wa spare n.k.
Unaweza pia kushauri aina nyingine ya gari with reason. Asanteni
RRONDO asante kwa comment yako. Reason ya kutaka noah.. ni kwa sababu ni family car. Ingawa familia yenyewe ni ndogo ..5people
Ukwaju asante kwa comment yako, ..nilisema pale mwanzo mtumiaji ni mwanaume.km ni Bibie chukua Noah
Hasara ya Verossa (ambayo ni GX110)
- itaibeba familia yako na mumeo mpaka wakwe
- utafanyia shughuli nyingi na za kubeba vifurushi hadi Fruji
- haina kificho (Tinted) hata wa pembeni watawaona
Nilisikia hizi gari hazitengenezwi tena badala yake waliingia kwenye Mark X
- ni ya kichoyo sanasana ni wewe na mumeo na huenda mumeo akaichepukia kwani imekaa kistarehe na kilevi zadi
- huwezi ifanya TAXI hasa ulaji wake wa mafuta kwani ni cc 1980 mpaka cc2200
- nyingi ya hizi gari zimekaa kigizagiza
nyingi ni TintedUkwaju asante kwa comment yako, ..nilisema pale mwanzo mtumiaji ni mwanaume.
Hapo unaposema verosa zimekaa kigiza giza umeniacha kidogo