Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
Kweli huyu Munawar amenifanya nisiwe nachangia kwenye mada yeyote ya magari maana majibu yake huwa ni shupavu na kindakindaki saana.
Ila nina mpango wa kununua kagari hivi punde.
Nashauri tu Munawar jaribu kuwa friendly, kind, humble, informative, approachable and supportive na pia punguza jazba, serious buyer tuko wengi saana ila unatufanya tuamini kwamba haiwezekani kumiliki kagari hata kwa mil 5.5 kwa majibu yako na jazba.
Nitafurahi kama utanijibu kistaarabu ndugu.
PAMOJA NA KUMPAMBA KOTE HUKO,
ILA NGOJA AVUTE BHANGI ZAKE AJE KUROPOKa!
Last edited by a moderator: