Nahitaji kununua gari

Nahitaji kununua gari

Cheki bei za watu !!!! IST hiyo !!!
 

Attachments

  • 1444652176907.jpg
    1444652176907.jpg
    38.1 KB · Views: 397
  • 1444652198639.jpg
    1444652198639.jpg
    50.8 KB · Views: 372
  • 1444652213346.jpg
    1444652213346.jpg
    48 KB · Views: 378
Munawar ni kampuni kubwa !!! Sihitaji kubadilisha ID !!! Wazushi kama wewe ni wapita njia tu !!!! Munawar ni tycoon !!!
 
Mimi nimeweka 11.5 unapiga kelele nyingi !!! Hao wengine utawafanya nini ???? Kama hujui bei za magari , endelea na kibarua cha Fundi viatu !!!! Kanda mbili ulipata bei gani
 
Watu walisema Rav 4 , ist , brevis , harrier, verossa sitauza kwa bei nilizoweka!!! Ila Alhamdulillah nimeuza zote !!! Watu Kazi yenu ni kuongea tu !!!

Sasa hivi nipo na crown series !!! Mwaka huu mtakufa wengi kwa wivu
 
Munawar ni kampuni kubwa !!! Sihitaji kubadilisha ID !!! Wazushi kama wewe ni wapita njia tu !!!! Munawar ni tycoon !!!

ND'O TUNASEMA MAKADA WA VYAMA MKIPATA PLATFORM YA KUONGEA ND'O HAMCHAGUI HATA LUGHA YENYE MASHIKO!

SASA TOKA LINI DALALI AKAWA #Tycoon.
 
Iwe toyota IST au Toyota Raum.

Bajeti ipo mil 6.

Nipo DSM

Call 0713774746

Ingia google andika neno KUPATANA huko ni mahala utapata magari kibao tu watu wanaweka mtandaoni wanauza
 
SIO NAMCHOKOZA,
NAONGEA UKWELi.

Hata gari nikiuza million 100, tatizo lako nini ???? Wewe kanda mbili zako unataka tshs . 2,500 !!! Je Kuna mtu amekusema juu ya bei ??? Punguza umbeya piriton mkubwa !!!

Fundi viatu una matatizo sana !!! Magari mliyosema sitauza nimeuza yote
 
Je kwa nini umefikia hatua mpaka kanda mbili unauza ???? Inamaanisha maisha ni magumu sana kwako !!!! Njoo showroom uoshe magari , nitakupa na sandals bure kabisa !!!
 
Yebo yebo huuzi ??? Kanda mbili ulipata bei gani ? Seneta njaa

Kweli huyu Munawar amenifanya nisiwe nachangia kwenye mada yeyote ya magari maana majibu yake huwa ni shupavu na kindakindaki saana.

Ila nina mpango wa kununua kagari hivi punde.

Nashauri tu Munawar jaribu kuwa friendly, kind, humble, informative, approachable and supportive na pia punguza jazba, serious buyer tuko wengi saana ila unatufanya tuamini kwamba haiwezekani kumiliki kagari hata kwa mil 5.5 kwa majibu yako na jazba.

Nitafurahi kama utanijibu kistaarabu ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom