Nahitaji kununua gari Saloon/Suzuki Escudo

Nahitaji kununua gari Saloon/Suzuki Escudo

Mjasiria Mali usinunue Suzuki ni majanga sister anayo hiyo
 
Kama kuna MTU anataka ra4 mpya iko Zanzibar sister wangu kaituma toka nje ila kashindwa kuilipia ushuru Wa hapa,Zanzibar imeshalipiwa tuna taka milioni kumi na Laki tano,ushuru Wa kulipia Bandar ya hapa ni milioni 3 labda na senti kidogo,0762670524
 
Back
Top Bottom