Mamu nunua noah kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm kwa mawasiliano
Wakuu ninahitaji kununua gari ya biashara haswa coaster. Ninaomba ushauri ni aina ipi ya coaster ni nzuri na pia kampuni nzuri ambayo nitaweza kuipata. Nasubiri ushauri wenu
Then baada ya miezi 10 haitamaniki tena, unanirudishia na kuanza kutafuta ingine kwa mtu mwingine.Mamu nunua noah
kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama
unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku
piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm
kwa mawasiliano
Mamu nunua noah kila siku tunatengeneza 100,000/= kama tutafanya kazi pamoja ila kama unanipa basi hesabu 70,000/=nakuletea kwa siku piga hesabu ta wiki halafu ya mwezi ..... Pm kwa mawasiliano