Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,629
- 5,347
Nilikuwa nahitaji link ya kuangalia game ya Bayern Munich na Real Madrid kupitia internet mwenye link kama vipi anaweza akatupia,au kwa wataalam anielekeze jinsi ya kufanya ili niweze kuona kitu live kupitia online via internet...
Hivi ni kweli zinaonyeshaga? Hua nikifungua nakuta Sijui download vitu gani....
nipo na modem ya Zantel mkuu, kwanini mkuu, au inakula bando sana mkuu, pia nami umenitisha sana mkuu...mkuu unatumia modem gani,ya mtandao upi?mbona unanitisha?
nashukuru sana mkuu...vipbox football kisha jichagulie link.
hd
nashukuru sana mkuu...
dah! hicho kitu inabidi ni cha ku note, maana mi nilikuwa naona watu wakisema wanaangalia mechi kupitia online sasa hicho kitu sikukinote pia...link zipo tatizo stability ya network ya bongo.. labda kama upo dunia ya kwanza.
Tatizo hapa ni hizi modm ni kimeo kwelikweli